Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. William Samoei Ruto akiwa katika jukwaa maalum la kupokelea heshima kabla ya kukagua gwaride maalum la Jeshi la Polisi liliondaliwa alipowasili kwa ajili ya kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mei 5, 2026 Jijini Dodoma.